Hii ndio single mpya ya Mtanzania iliyotua kwenye mtandao wa MTV Base



.

Hii ni taarifa nzuri kwa msanii mwingine Mkali wa Soul Tanzania, Damian Soul, ile single yake yake mpya aliyoipa jina la ‘Baraka’ imepata nafasi ya kuwa moja ya ngoma kali kuingia kwenye mtandao wa MTV Base.

Wimbo huo ameshirikishwa mkali mwingine kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, ambapo rapper huyu kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Jan 12, Joh amepost picha ikionesha single hiyo ikionekana katika mtandao huo wa MTV Base na kuandika; “Kutokea hapa tu…@damian_soul #Baraka#amonmyway #2015 #GODENGINEERING“–@joh_makini


.


Pichani:Mkali wa Soul Tanzania, Damian Soul alipokwenda kutambulisha single yake mpya ‘Baraka’ kwenye Double XXL ya CloudsFM.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment