Jionee uzinduzi wa Promosheni ya #JayMilions ya Vodacom Tanzania kwenye pichaz


Image00008

Siku ya jana January 13 Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliandika historia kubwa na nzuri ambayo ni ya kwanza tangu tuingie 2015.
Vodacom walikutanisha watu wa nguvu pale Double Tree, Masaki Dar es Salaam, usiku wa jana kwa ajili ya shughuli yote ya uzinduzi wa Promosheni ya #JayMilions.
Unaambiwa kwamba huu ni mchezo wa bahati nasibu ambapo wateja watajishindia pesa Sh. bilioni 30/- kama zawadi ndani ya kipindi cha siku 100, namna ya kujiunga unaweza kutuma sms yenye neno ‘JAY’ kwenda namba 15544 ambapo utajua pia kama wewe ni mmoja ya washindi wa siku hiyo.
Image00001
Image00002
Image00004
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment