Picha kutoka Mahakama ya Kisutu wakati inasomwa hukumu ya Mawaziri wa zamani, Daniel Yona na Basil Mramba









Kesi iliyokuwa inawakabili Basil Mramba, Daniel Yona na Agrey Mgonja kuhusu matumizi mabaya ya madaraka imetolewa hukumu leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.

Daniel Yona na Basil Mramba wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya Milioni tano kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya makosa 11, Grey Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.


Basil Mramba, Daniel Yona na Grey Mgonja wakiwa nje ya mahakama ya Kisutu kusubiri kuingia ndani




Familia ya Daniel Yona na Basil Mramba wakiingia Mahakamani




Daniel Yona akiagana na rafiki zake






Basil Mramba akiingia ndani ya Gari ya Polisi kuelekea gerezani.


Daniel Yona akiingia ndani ya gari ya Polisi kuelekea Gerezani.





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment